Kanye West amchukiza Whoopi Goldberg kwa kujisifia.

Mwigizaji maarufu na mtangazaji wa kipindi cha The View Whoopi Goldberg amekerwa na kitendo cha rapa na mfanya biashara mkubwa Marekani Kanye West kuona ni sifa kusema hajapiga kura kwenye uchaguzi mwaka jana.
Whoopi Goldberg amesema anamtaka Kim Kardashian kumwambia mume wake kuwa “Usifikirie ilikuwa sawa kusema huja apiga kura,sijali ungempigia kura nani, fahamu watu wamepoteza maisha yao ili wewe upate haki ya kupiga kura Marekani, you idiot boy. You foolish boy, idiot boy usiseme tena hivyo“.
Whoopi pia amesema hajali Kanye angempigia kura nani…

Hakuna maoni