J COLE AKIMBIZA BILLBOARD

Hiphop staa wa Roc Nation ya Jay Z ‘J. Cole’ ameweka historia tena baada ya album yake mpya  ya 4 Your Eyez Only kushika namba moja kwneye chati za Billboard 200 .
Kwneye wiki ya kwanza sokoni album ya J Cole imeuza kopi laki 492,000.
BILLBOARD 200 TOP 10
1. J. Cole – 4 Your Eyez Only – 363,000
2. Pentatonix – A Pentatonix Christmas – 156,000
3. The Weeknd – Starboy – 109,000
4. Bruno Mars – 24K Magic – 74,000
5. Pentatonix – That’s Christmas to Me – 65,000
6. Post Malone – Stoney – 58,000
7. Broadway Cast – Hamilton – 48,000
8. Various Artists – Moana Soundtrack – 48,000
9. Michael Bublé – Christmas – 43,000
10. The Rolling Stones – Blue & Lonesome – 43,000

Hakuna maoni