Chris Brown na Soulja Boy kupigana Dubai…

Chris Brown na rapa Soulja Boy ambao kwa sasa wana beef kubwa la muziki duniani wemakubaliana kufanya pambano lao Dubai.
Chris na Soulja wamekubaliana kufanya pambano hili ili kutengeneza pesa kupitia Pay-Per-View [Watu wanaotaka kuangalia pambano hili watalipia].

Awali pambano hili lilipangwa kufanyika Las Vegas ila imeripotiwa kuwa na sheria kali zilizopinga vikali pambano kama hili kufanyika.
Mpaka sasa waandaji wa pambano hilo wanasema pesa zitakazo patikana zitatolewa kama msaada.

Hakuna maoni