PICHA; ONA JINSI UMBER ROSE NA WIZ KHALIFA WALIVYORUDIANA

Ijumaa hii Amber Rose na Val Chmerkovskiy wameachana na staa huyu kurudiana na Ex wake Wiz Khalifa.
Amber Rose ’33’ na Wiz Khalifa ’29’ wana mtoto mmoja mwenye miaka mitatu ‘Sebastian’ walionekana wakipeana mabusu kwenye redcarpet ya party ya Clive Davis ya pre-Grammy mjini Los Angeles.
 

Hakuna maoni