BABA WA MTOTO WA ROSE NDAKUKA AFUNGA NDOA
Mzazi mwenza wa msanii wa filamu Rose Ndauka, Maliki Bandawe aka
Chiwaman amefunga ndoa kimya kimya na mrembo ambae jina lake
halikupatikana mara moja.

Chiwaman ambaye ni baba wa mtoto mmoja ambaye alizaa na Rose Ndauka, waliachana na Rose Ndauka mwezi mmoja kabla ya tarehe yao ya kufunga ndoa.
Jumamosi hii, Chiwaman amepost picha akiwa na mke wake na kuandika:

Alhamdullilah#Married _Allah Barik… Nawashkuru wote mliokua pamoja nami insha allah mola atawalipa zaidi.Chiwaman ambaye pia ni msanii wa kundi la TNG, hakuwahi kueleza sababu ya kuachana na muigizaji huyo wa filamu.

Post a Comment