NISHA BABY: SIJATEMBEA NA HAWA MASTAA


Mwigizaji wa filamu Tanzania Salma Jabu Aka Nisha Baby ambaye hivi karibuni amekuwa kwenye vichwa vya habari baada ya taarifa za ujauzito wake kusambaa mitandaoni.
Nisha Ni mjamzito ila mpaka sasa hajataja baba wa mtoto wake ni nani ila alichoweza kusema ni kuwa ‘Hawako pamoja tena’ na ‘Mimba ilitokea baada ya kufanya ngono bila kupanga’.


  Akizungumza Kwenye FridayNiteLive na Sammisago Nisha amekanusha kuwahi kuwa na mahusiano na wasanii Rich Mavoko, Ben Pol, Rayvanny na Nuh Mziwanda.
nuh-mziwanda
Nuh Mziwanda
rayvanny
Rayvanny
mavoko3
Rich Mavoko
ben-pol
Ben Pol

Hakuna maoni