TANZIA:SPIKA SITTA AFARIKI DUNIA


    Aliyekuwa mbunge wa Urambo na spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samweli Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo nchini UJERUMANI alipokuwa akipatiwa matibabu kwa muda wa mwezi mmoja.

 Vile vile  Mh Rais ametoa salamu za rambi rambi kwa familia ya Mh. Sitta.
http://www.timesfm.co.tz/wp-content/uploads/2016/07/Samuel-Sitta.jpg

Hakuna maoni