HIZI SABABU ZA BIRDMAN KUSITISHA MAZUNGUMZO NA LIL WYNE

Ripoti mpya inasema mahusiano ya Lil Wayne na Birdman yanaelekea kubaya zaidi ya baada ya mazungumzo ya kulipana kati yao kusitishwa na Birdman.
Hivi karibuni palikuwa na mazungumzo kati ya kambi ya #LilWayne na #Birdman kuhusu Wayne kulipwa pesa zake ambazo ni zaidi ya dola milioni 50 za kimarekani ila baada ya kauli ya kumkejeli Birdman kutolewa na Wayne, sasa mambo sio shwari tena.
Lil Wayne alibadilisha mashairi ya wimbo wake wa “I’m Me” na kumtaja Jay Z huku akisema kwa sasa yupo Roc-A-Fella Records badala ya Cash Money.

Post a Comment