BURUDANI: KUACHA NYAMA KUMEMFANYA KUWA RAPA BORA
Common anasema alilelewa mjini Chicago ambapo alikuwa sana vitu vya nyama mpaka alipokuwa na kuamua kuacha kabisa.
Common anasema “Nilisikia maneno makali kutoka kwa watu wakubwa kama KRS-One kwa usile nyama na sababu ni mtu mkubwa kwangu ilikuwa bonge moja la somo, nilipoacha nyama nikaanza kujisikia kama ni wazi na naona mambo tofauti, unaweza usiamini ila ndio kweli hivyo”

Common
Post a Comment