Birdman;tulikubali Tyga atoke Cash Money sababu mauzo yake hayakuwa mazuri..
CEO Wa lebo ya Cash Money, Birdman amefunguka juu ya rapa Tyga kutoka kwenye lebo hio nakusema walimruhusu atoke sababu mauzo yake hayakuwa mazuri.
Birdman kasema haya baada ya Tyga kusema anaidai lebo ya Cash Money dola milioni $12 million huku Birdman akisema Tyga ndio anadaiwa dola milioni moja sababu alijitoa kwenye lebo kabla ya kumaliza album moja.
Tyga aliondoka Cash Money na kujiunga na lebo ya Kanye G.O.O.D. mwaka 2016.
Post a Comment