ALI KIBA, V MONEY NA IDRISSA SULTANI WASHINDA TUZO UGANDA
Tuzo za Abryanz Style Fashion (ASFA2016), zimefanyika jana jijini Kampala, Uganda na kufana huku Idris Sultan akishirikiana na Vimbai Mutinhiri wakisherehesha.

Haya ni majina ya mastaa wa Tanzania walioshinda tuzo hizo:
Humanitarian Award – Millen Magese
Rising Model East Africa -Abel Kipaso
Best Dressed Female -Wema Sepetu
East Africa Designer of The Year – Martin Kadinda
Most Fashionable Music Video Africa Award – Aje ya Alikiba
Most Stylish Artiste East Africa Female- Vanessa Mdee
Most Stylish Artiste East Africa Male – Alikiba
Fashionista of The Year Award East Africa – Hamisa Mobetto
Best Dressed Media Personality/Entertainer Of The Year Africa – Idris Sultan
Post a Comment